New Video | Barakah the prince - Sometimes

Baada ya kujiondoa katika label ya RockStar4000 msanii wa Bongo Flava, Barakah The Prince akiwa chini ya lebo yake ya Bana Music ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Sometimes’ audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Mr.TTouch wakati video ikiongozwa na Director Hascana.

No comments