New Video | Future JNL - Visiwani


Msanii Future Jnl ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Visiwani’ ambao umetayarishwa na Charlee The Best pamoja na Eizer Beats. Video imefanyika Tanzania na Afrika Kusini na imeongozwa na director Travellah wa Kwetu Studio.

No comments