New Audio | OMG Tanzania - Hallelujah RMX | mp3 download

Kundi la OMG ambalo linafanya vizuri kwa sasa wameachia cover ya wimbo wa 'Hallelujah' uliofanywa na Diamond Platnumz akiwashirikisha Morgan Heritage. Sikiliza na pakua cover ya OMG hapa chini.


No comments