New Video: Aslay - Hauna (Official Music Video)

Msanii wa Bongo Fleva, Aslay ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Hauna’ ikiwa ni muendelezo wa kuachia Hit baada ya Hit kwani bado ngoma yake ya Natamba na Pusha zinafanya vizuri kwenye media hapa Tanzania. Itazame na ku-download hapo chini.No comments