ALIKIBA AFANYA HIKI KWA STAA RIHANNA


STAA wa muziki wa bongo Fleva, Ali Saleh Kiba a.k.a Ali Kiba amefanya mabadiliko yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye akaunti yake ya Instagram kwa kifanya ambacho wengi wao hawakukitegemea katika siku za hizi karibuni.
Staa huyu amekuwa ni mwenye kufuatwa na idadi kubwa y amashabiki ambaye kwa sasa anawafuasi wasiopungua milioni 2.4 katika ukurasa wake wa Instagram huku yeye asimfuate mtu yeyote kwa kipindi kisichopungua miezi inayoweka kuhesabika kuwa ni mwaka mzima, hatimaye amemfuata Staa na mwimbaji kutokaBarbados ‘Robyn Rihanna Fenty’ Rihanna.


Hata hivyo haijafahamika ni nani atafuata kuingia katika orodha ya watakaokuwa wakiweka post katika akaunti na ziweze kumfikia Alikiba kwakuwa kwa sasa mtu pekee anayeweza kupost na post zake zikamfikia Alikiba ni Rihanna.