Video | Msimamo wa Chuo cha SAUT Mwanza kuhusu Binti alievishwa pete na Mwanamke mwenzake

Hatimae Uongozi wa Chuo cha SAUT Mwanza umeweka wazi msimamo wako kuhusu Mwanafunzi Janeth Julius aliefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuvishwa pete ya uchumba na Mwanamke mwenzake.


No comments